Show Ya Love

(Verse 1 )
Tulipatana kwa corner ya mtaa ,mrembo mreal amevaa deceit baggy/akaspeak to my heart/kwa hopeless life ,aka introduce another art/tulispend tukibongea real life situations,street creed na mtaa/alinishow ako lonely ana wound, the scars/kila moment alikuwa deep within me/tulireach level ya ku-explain chenye heart yetu was saying deep within,nikamu-uliza ka anaeza get down na me/akanishow apendi negativity/anapenda smooth thoughts na creativity/tulibusu siku na smile iliniacha nikichora kwa ukuta na rangi/nilifeel lost ka ndege imepigwa na radi/mawazo zikinichapa /vile anaenda nikimtazama

Tuwanze na street walk/kisha hiphop talks/tujenge foundation ya street talks/

Verse 2

Jioni tukapatana tena,mrembo amebeba kitabu mic na love/amevaa timber 22 na curve/akarusha smile from, a mile/nikamshow amekuwa in my mind for a while/akanishow twende street tuwatch beat boxing/freestyles na poetry talking/kufika tukapata ma thug,ma gangsta na ma-pimp/kila kitu imechange si venye alikuwa anaexpect ,ni opera ya show na love scene/machozi kudondoka /nikahisi upole imem-toka/harakati ya kubebembelezana akanibusu/nikahisi ukweli ya mapenzi kwa kila mate ulimi ili durusu/nafasi haikutu ruhusu/tuka-agana ,huku nikibaki na love smile na care/mtaa ni mbali ikabidi nimetembea/

Nikastart na street talk/kisha love thoughts

Verse 3

Tulibonga poetry rhymes na bars/iliniacha nimekuwa healed kwa all my scars/mrembo alikuwa mu intellectual nilikuwa inspired beyond kiss n hugs/beyond jokes and laughs/tulibaki tumeroga theme za love zilituacha tukipendana ndani/alivua nguo nione ukweli kwa soul barren na forgotten,nilifeel whole again kupata truth kwa mkono ya stranger/my pain is,nini ilihappen to that love /that care/mbona nahisi niko solo/rudi,hisia ziko so low/natembea lonely hakuna shadow nafollow/