Art Kwa Soul

Verse 1 (Mc Spook)
Nita-anza aje verse bila metaphors zaburi na rhyme? /kwa heart (art) yangu nimebeba shairi, methali na concepts za life/durusu sadaka za mulumbi unipate niki-servive kwa karne ya wayahudi ,mi ni plant rare ,nablossom kwa giza 'ni vipi nta-quit na sanaa bado ipo ?/niki bring hip-hop ili-die kwa casket/imerudi in luo accent/nina idea (eyedea) ya kutema soul yangu, before kifo niwache dunia na art (heart) imejawa brightness na truth/ mi ni blind child na open mind/ basic poet na simple rhyme/ na morph kwa rhythm of my own sound,tra 'sound of the unsound mind/

Hook (Six Bars)

It started way back/listening to biggie jay pac na nas/abbas kubaf sewer na kash/vigeti bamboo na nyash/i got hiphop tattooed in me, nahisi truth on this logical on this verse,need, one mic on this street cocktail/sijui ka, mi ni mtu mwingine real/ama nipate shule ya mtaa mi na magode tukichambuwa ma bangi/number one imposter 'tra tuchambuwe mavina/ma mcee wame-ishi kwa vita/siwezi curse 'nimegrow na mapriest/hakuna upendo, natafuta adhira kwa book of eli,niko chuo shairi kwa nyororo kwa kichwa /nahizi nivarna imenitoka 'Ochuka rusha vina/staki niwe iddle kwa mind/disorder yangu inashinda my own genetic/staki kukuwa urban legend 'street creed niki damage na romi/mkalimani of my own skills and spirit/sijui niskize nani nacheki ma gimmicks/na ma critics/

Hook (Six Bars)

Verse 3 (Mc Spook)
Naona mantra kwa hii verse/ paradigm imesha shift kwa verb/naingia straight kwa your heart,utadhani maltose at lower level/night of the dead poets kama ni level/ hizi ni flutes of my soul / mabattles niko nazo within my own flaws (floss )/they give me chills/hakuna mwenye ni mis-educate me on this hills/ i caligraph (khaligraph) my soul on wall/fight my own demons utadhani paul/who can dare read this epistles, tuna andika na broken pen/ hizi mziki naandika infused it in your life/let the words motivates you, and pull you out of strife/open my mind utapata rotten philosophies / coded kwa my heart bodmas/meet my eclipse utapatana na fifth letter imefichwa kwa meno ya ochuka/