Kelele Za Chura

[intro]
Maasai Fella
Haiya iya
Waasafi si mko nyuma ya sumu
Napanda mgongo usiku me nakula
Usipende kuzima taa wakati wa kula
Hakuna mgnga ajikaza ja koma
Ukipika wali nazi, me nakula

Kuhusu jikoni, hilo usijali
kwani ushibapo mume me nafurahi
nachotaka mapenzi, Kwa mwengine siwezi

Kwa mapenzi usijali, kitandani ni hatari
Umefungwa kama mwari kijokozi na habari
Haiya iya
Mchana jua kali tujifungie chumbani
kama kuna joto kali, kuna jamvi barazani

[chorus]
Huna kasoro hara kidogo mtoto naita
Huna kasoro hata kidogo kaka nakuita
waache waongee,
haya mama usiogope
wanamisi na wasiwasi nawe
haya mama usiogope

mmm, waache waongee,
haya baba usiogope
kelele za chura kisimani
haya baba usiogope

Moyo,
Moyo moyo wangu moyo
moyo
Unawasiwasi wangu moyo
moyo
Mbona wachache wanapenda
wengi wanaomba, mimi nawe tuwachane
wao ndio wanapenda

tufanikishe washangae, mimi nawe
wazinduke nishakuwa nawe, mimi nawe
watanuna kuwa nawe, mimi nawe
usijali niko nawe,
Napanda mgongo usiku me nakula
Usipende kuzima taa wakati wa kula
Hakuna mgnga ajikaza ja koma
Ukipika wali nazi, me nakula

[chorus]
Twende chikuna na jobanjo, na jobanjo
sasa midunda na jobanjo, na jobanjo
Twende chikuna na jobanjo, na jobanjo
sasa midunda na jobanjo, na jobanjo

haiya iya x2