Sweet Illusion

Toka
day fateful, years ago
Na flow charts
safari ndefu, ditinde nyochatho
Uko na
so much soul
Ile healing me hupata nikiremember nikistumble na kufall
Vinyl ongeza tempo
Badala ya drift ya chemo kwa veins nipe headphones
ongeza tena scratch juu ya treble

Range close
Dunia, merry go round
Niko alive, so najua nikikatwa naezaflow
Nyota mbalamwezi zinicrown
Ndio nikiscribble dirge ni classical
Baptismal
Metaphors zilikuwa hidden, wengi waliniwalk out
Nilikuwa na hii gem kwa soul
Kwa kila amebreak bread na mimi, hii ni yako song
Embalm dharma kwa manukato, imekuwa long
Nikafeely aibu, hata sikuwezashika phonecalls

Yeah, ah

Ukifeel
wind ama drizzle
Usifeel
weak tumour ikichisel
Life out of you
Singsong
Ninalevitate vile hii beat inanifanya sentimental
Juu kuna time
Sina any, nafeel feral
Pissed off, nadai body ishuttter now
Au pistol, juu Prozac zinanifanya suicidal
Au mother kucontemplate siku watatoa tubes wazime gas out
Hapo ndio soldier ninayell out
"Baby wangu ako wapi, ninakumiss, am void now."
Ndio flowers ziublossom
Na concrete juu ya grave, black soil white cotton,
Na hapo godspeed
Na mock death, like, "Tumours who's laughing now?"
I was
never lost
I am always found
Beat ka hii ndio huremind my soul
Fate itafanya kinachompendeza
For now me ni airbender
Break laws, na kuona siku njema
Nika me na Julie, the last camp Rusinga
Au Bevy au hata hio box ya velvet Uncle alilazwa

Sina skill
Ninakupea ikiwa raw
Sina fear
Kwa bonde ninazidi tu kucross
Na ka life imewahikukuwacha na picha za unaopenda, skiza hii
Santuri nimetunga for you
Yours truly
Sing away the blues